Watu wengi waandamana Ubalozi wa Afrika Kusini,Dar es Salaam Kutaka kuachiwa kwa Air Tanzania
Mamia ya watu Dar es Salaam wameandamana mpaka Ubalozi wa Afrika kusini wakitaka kuachiwa kwa Ndege ya Air Tanzania inayozuiliwa Johannesburg.
Waandamanaji hao walikuwa na mabango yenye jumbe mbalimbali ambazo zimeandikwa kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ambao wamewasili katika Ubalozi huo leo asubuhi.
Aidha Waandamanaji hao walisikika wakiimba"Tunataka Ndege yetu,tunataka Ndege yetu".
Ndege hiyo ilizuiliwa kwa amri ya Mahakama kuu ya Jimbo la Gauteng ambapo ilikuwa ikitoka Johannesburg kuelekea Dar es Salaam,Tanzania Agosti 23,2019.
Mpaka sasa haiulikani waandamanaji hao walitumia njia gani kujikusanya ama wanafungamana na kundi lipi la Kisiasa au la Kiharakati.
"Hili ambalo wamelifanya la kuandamana halikubaliki.Tuheshimu sheria hata pale tunapoona jambo linafanyika halipendezi lakini kuheshimu Sheria ni jambo la maana sana".Amesema Mambosasa.

No comments
Post a Comment