Header Ads

Header ADS

Magufuli asikitishwa na kifo cha Robart Mgambe

          Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha muasisi wa na mpigania uhuru wa Taifa la Zimbabwe Robart Mugabe kilichotokea leo Septemba 06 ,2019 katika nchi ya Singapore alikokuwa anapatiwa matibabu kutokana na maradhi yake ambayo mapaka sasa hayajawekwa wazi .











Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Rais Mstaafu na Baba wa Taifa la Zimbabwe Mzee Robert Mugabe. Afrika imepoteza mmoja wa viongozi Jasiri, Shupavu, Mwanamajumui wa Afrika na aliyekataa ukoloni kwa vitendo. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.

           Magufuli ametuma salamu za rambirambi kupitia ukrasa wake wa twita huku akionyeshwa kusikitishwa na kifo cha Raisi msitaafu wa kwanza wa Zimbabwe,

No comments

Powered by Blogger.