Header Ads

Header ADS

Makonda atoa kibali kwa Viongozi wa Dini kwenda kuhubiri kwenye sehemu za starehe

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa kibali kwa viongozi wa dini kwenda kuhubiri kwenye kumbi za burudani usiku ili watu wasikie neno la Mungu, wasije kusema hawakusikia. Ametoa onyo kwa wamiliki wa klabu watakaozuia watumishi hao, na kwamba yeye ndiyo Mkuu wa Mkoa.

No comments

Powered by Blogger.