Header Ads

Header ADS

Mwili wa Robart Mugabe kuzikwa 15 Septemba 2019

                Mwili wa Raisi Mstaafu wa Zimbabwe Robart Mugabe unatarajia  kuwasili Zimbabwe Jumatano Septemba 11,2019  na mazishi yatafanyika Jumapili Septemba 15 .
              Pia Mwanasiasa huyo alifariki dunia 06 Septemba 2019 Nchini Singapore alikokuwa anapatiwa Matibabu toka mwezi Aprili 2019.

No comments

Powered by Blogger.