Header Ads

Header ADS

Tundulisu akwama tena Mahakamani

            Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dares Salaam ,Imetupilia mbali maombi ya kupinga kuvuliwa Ubunge kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mh.Tundu  Lisu  kwa maelezo kuwa Mahakama hiyo haina uwezo  wa kusikiliza kesi hiyo.













           Kwa mjibu wa taarifa iliyotolewa leo 09 Setemba 2019   na  Jaji Sirillius Matupa  ambaye amesema kuwa Kesi hiyo ni ya Kikatiba hivyo inapaswa kufunguliwa kwa mfumo wa kesi za Uchaguzi na si kw mfumo ambao alikuwa ameutumia na kusema kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka ya kutengua Ubunge wa Mbunge Julius Mtaturu aliyeteuliwa na kuapishwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki.
          Pia kwa upande wa Mawakili wa Tundulisu wamesemakuwa wanajipanga upya ilikufungua Kesi ya Uchaguzi ili kupata haki yao.
         

No comments

Powered by Blogger.