Header Ads

Header ADS

Mkulima aliyeshikilia ndege ya ATCL Afrika Kusini 'ni wivu tu'ameeleza Magufuli.

     Dkt.John Pombe Magufuli Rais wa jamuhuri wa muungano wa Tanazania,kustahajabisha na kitendo cha mkulima aliyezuia ndege ya ATCL kwa mamlaka ya Mahakama kuu ya Afrika Kusini na kueleza kwamba ni wivu tu kwa kile alichokifanya.
   Katika uzinduzi wa Rada ya kuongezea ndege katika anga la Tanzania,Rais Magufuli amesema hayo leo septemba 16,2019.












    Amesema kuwa shirika la ndege la Tanzania linafanya vizuri na ndiyo maana watu wanajitokeza kuishikilia.
  Mnamo Agost 23,mwaka huu Ndege ya kampuni ya ATCL ilikamatwa nchini Afrika Kusini na kuachiliwa septemba 3,mwaka huu,mara tu baada ya jopo la mawakili wa serikali kushinda kesi hiyo.
    ”Shirika letu la ndege linaendelea vizuri, ndio maana mkisikia watu wanakamata ndege zetu msishangae sana hii ni kwa sababu ndege zetu zinafanya kazi vizuri, mimi huwa naona kama kelele za chura hazimzuii Ng’ombe kunywa maji” amesema Rais Magufuli.

No comments

Powered by Blogger.