Header Ads

Header ADS

Prince Harry afanya ziara nchini Angola.

      Prince Harry ambaye ni mwana wa Mfalme Harry katika upande wa ziara yake Kusini mwa Afrika lakini pia amefanikiwa kutembelea Nchini Angola kwa ajili ya kuendeleza jitiada zake za kuondoa mabomu yaliyo arhini mwa nchi hiyo.
  Ambapo mama yake Prince Diana ambaye mnamo mwaka 1997 alienda maeneo hayahaya kwa lengo la kutaka kuondoa mabomu yaliyochimbiwa ardhini.
   Hata hivyo picha za ziara zake kupendwa na watu wengi duniani kote.











   Kutokana na eneo hili hatari ambapo bado linaendelea kupoteza maisha ya watu wengi katika nchi mbalimbali.
       Princess Diana alijulikana sana kwa kujitolea kwa wahitaji ingawa mafanikio yake hakuyaweka hadharani.
   Mnamo mwaka 1987,Prince Diana alifungua Kliniki ya kwanza Uingereza kwa lengo la kuwasaidia watu walioathiriwa na ugonjwa wa Ukimwi na tabia ya waathirika hao kuweza kubadili.
   Kuhamasisha uwelewa juu ya mabomu yaliyochimbwa ardhini, ni miongoni mwa kosa kubwa lililosababisha apewe talaka na mume wake Prince Wales mwaka 1996.

  


    Lakini pia, miongoni mwa mabomu kadhaa ya ardhini yalikuwa yametumika katika migogoro mbalimbali.
  Hata hivyo,ni Mabomu mengi ambayo hayajalipuka yaliachwa wakati wa vita, kipindi ambacho mauaji ya watu yalifanyika kwa wingi au yalilipuka bila kutarajiwa.
   Aidha,Prince Harry ameeleza katika ziara yake kwamba mabomu hayo yaliyochimbiwa ardhini ni kovu lisilopona 
  Hata hivyo,ameeleza kuwa mabomu hayo yaliyofukiwa ardhi huwa yanalipuka bila kutarajia au kwa makubaliano fulani.
     Hivyo mabomu hayo yamegawanyika katika sehemu mbili ambayo kuna yaliyofukiwa kwa dhumuni la kujeruhuwi watu,kuwaua lakini pia na aina nyingini ya mwisho ni kwa lengo la kuteketeza magari 
  Mabomu hayo yalianza kulipuka mnamo mwaka 1960 na kuendelea lakini mabomu hayo ambayo yalitegwa au kutumika katika vita kuu ya kwanza ya dunia.

No comments

Powered by Blogger.