Header Ads

Header ADS

Rais wa Tanzania Dkt.Magufuli awakilishwa na Prof.Kabudi New york,Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof.Palamagamba John Kabudi yupo Mji mkuu wa Marekani New york akimwakilisha Rais katika Mkutano wa 74 wa Baraza la kudumu la Umoja wa Mataifa unafanyika Mjini humo tangu Septemba 21,2019 mpaka 30,2019.















Prof.Kabudi akifuatilia maelezo kutoka kwa Balozi wa kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa uliopo New york Marekani Balozi Modest Mero.

No comments

Powered by Blogger.