Header Ads

Header ADS

Raisi Dk Jonh Pombe Magufuli amefanya uteuzi mwingine

     Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa kumteua Mohamed Khamis Hamad ambaye alikuwa wakili wa Serikali katka Ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka Zanzibar kuwa makamu wa mwenyekiti wa Tume ya haki za binadam na utawala bora,ambapo Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu kuwa mwenyekiti wa Tume hiyo.












No comments

Powered by Blogger.