Header Ads

Header ADS

Silaha Mpya zatarajiwa kuonyeshwa katika Gwaride la china

Katika kusheherekea maika sabini 70 ya chama kinachotawala nchini humo cha  ''communist''.china itakuwa na gwaride kubwa la kijeshi waliloliandaa pia katika gwaride hilo china imeahidi kuonyesha silaha mpya za kijeshi zinazotengenezwa katika mji wa Beijing nchini humo.

 









Jambo kubwa linalotazamiwa kufanywa katika sherehe hiyo ni pamoja na gwaride hilo litakalo fanyika katika mji wa Tiananmen ambapo maafisa wakubwa pia watahudhuria,wananchi kadhaa na maaskari 188 kutoka nchi 97.
  Aidha msemaji  wa Waziri wa ulinzi amesema kuwa china kwa sasa haina mpango wa kuonyesha nguvu walizonazo ila wamepanga kuonyesha upendo  na amani na jinsi china itakavyowajibika.
   Pia taarifa iliyotolewa na Waziri wa ulinzi ni kwamba wanajeshi 1500 watashiriki,na 59 wakitoka katika vikosi mbalimbali huku silaha 580 zikionyeshwa  na ndege 160 zitaruka angani.
  Rais Xi Jinping atakagua gwaride hilo katika makutano ya Chang'an  mjini Beijing na baada ya zoezi hilo ndege za kijeshi zitarushwa katika mji wa Tiananmen.
   People's Libaration Army (PLA) ambalo ni Jeshi la wananchi lina hamu ya kuonyesha silaha mpya katika hadhara ambazo zimeshaanza kutumika.
 









Hiyo ni miongoni mwa silaha inayotarajiwa kuonyeshwa  katika sherehe hiyo ambayo inaweza kutoa angalizo kwa watumiaji.
  Pia silaha nyingine zinazotarajiwa kuonyeshwa na pamoja na:
>Silaha mpya ya DF-41 ambayo wachambuzi wanasema kuwa imelenga kutumika sehemu yoyote ulimwenguni itaweza kuonyeshwa.
>Silaha nyingine ni MIRV ambayo ina muongozo maalumu wa ufanyaji kazi, ina uwezo wa kupiga maeneo 10 tofauti katika eneo kubwa .
>Mashine nyingine ni DF-17, inatajwa kuwa gari kubwa lenye uwezo wa kubeba mzigo mkubwa na ina kasi kubwa.
>Silaha nyingine mpya za magari, ndege na meli za kijeshi zitaweza kuonyeshwa.
>Two unmanned aircraft Ndege mbili za kijeshi ambazo hazikutajwa majina zikiwa na muundo wa ndege isiyokuwa na rubani pia zitaonyeshwa ingawa zinalengwa kuitwa DR-8 .
   Pia moja ya tofauti ya moja ya tofauti itakayoonekana hapo kesho na maadhimisho ya mwaka 2015 ni sherehe za angani ambazo hapo awali hazikufanywa.
  Mbali na hayo yote gwaride pia linaangazia kusherehekea mafanikio ambayo china imejitwalia katika uvumbuzi na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali.
  China pia inatarajia kuboresha malipo ya wanajeshi nchini humo.
   


No comments

Powered by Blogger.