ACT Wazalendo kujiunga na kesi ya kupinga uteuzi mpya wa Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi(NEC).
Zitto Kabwe ambaye ni kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ameeleza chama hiki kimemwagiza Jebra Kambole ambae ni Wakili, kufuatilia misingi ya kisheria ili kuweza kufungua kesi ya kupinga uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC ambapo Dk.Wilson Mahera ndiye aliyeteuliwa.
Hayo amezungumza leo hii jumatano Oktoba 02,2019 muda mfupi baada ya kutoka kusikiliza kesi ya kupinga ukomo wa urais iliyofunguliwa na Dezydelius Mgoya ambayo chama hicho kimeomba kujumuishwa.
Hayo amezungumza leo hii jumatano Oktoba 02,2019 muda mfupi baada ya kutoka kusikiliza kesi ya kupinga ukomo wa urais iliyofunguliwa na Dezydelius Mgoya ambayo chama hicho kimeomba kujumuishwa.
No comments
Post a Comment