Header Ads

Header ADS

Mkutano wa kuvutia uwekezaji SADC kutoka China wafunguliwa

   Mkutano wa kuvutia uwekezaji katika nchi za SADC kutoka Jimbo la Jiangsu umefunguliwa leo jijini Nanjing na Naibu Gavana wa Jimbo hilo Ndugu Ma Qiulin.

Mkutano huo umehudhuriwa na Mabalozi 11 wa nchi za SADC na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa SADC ambaye pia ni Mkurugenzi wa Miundombinu wa Sekretariat ua SADC, Mapolao Mokoena.













    Katika hafla ya ufunguzi wa mkutano huo Balozi wa Tanzania Mbelwa Kairuki alitoa hotuba kwa niaba ya Jumuiya ya Mabalozi wa Nchi za SADC nchini China ambapo pamoja na mambo mengine aliyakaribisha makampuni ya SADC kuchangamkia fursa za uwekezaji katika nchi za SADC kutokana na fursa za soko kubwa lenye idadi ya watu milioni 345 na uchumi wa GDP 600 Billion

No comments

Powered by Blogger.