Mkutano wa SADEC wa Mazingira wa Maliasili waendelea Jijini Arusha
Mkutano wa SADC ambao unaendelea umebeba madhumuni ya kuangalia mwenendo mzima wa hali ya mazingira na mabadiliko ya Tabianchi ikiwa ni pamoja na kubainisha utekelezaji wa mikakati ya hifadhi ya usimamizi wa mazingira.
Mkutano huo leo utaingia hatua ya pili ya makatibu wakuu baada ya wataalamu kumaliza ngwe yao jana na utafunguliwa na Waziri mwenye dhamana ya utalii Dkt.Khamis Kigwangalah kwenye Kituo cha mikutano ya Kimataifa AICC jijini hapa.
No comments
Post a Comment