Header Ads

Header ADS

Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpozi atunukiwa tuzo Marekani.

    Msanii Ommy Dimpoz amefanikiwa kunyakua tuzo ya msanii bora kiume kutoka Afrika Mashariki, Best Male East Africa kwenye tuzo za Afrimma zilizotolewa Dallas Texas, Marekani usiku wa jana.















     Dimpoz amefanikiwa kuwamwaga Alikiba, Nyanshinki, Jux, Harmonize na wengine waliokuwa wanawania kwenye kinyang'anyiro hicho

No comments

Powered by Blogger.