NAFASI YA KAZI YA UALIMU WA HOTELI NA UANDISHI WA HABARI
Grossal Institute Training College ni chuo kilicho Makambako Mkoani Njombe
Mtaa wa Goligota. Grossal Institute Training College tunatoa Kozi zifuatazo Uhazili(Secretarial) Mwaka Mmoja, Hoteli na Utalii (Hotel Management and Tourism) Miezi Sita hadi Mwaka mmoja , Utalii na Uongozi(Tourism and Management) Mwaka mmoja, Kozi Fupi za Kompyuta (Computer Courses) Miezi Miwili , Kozi ya Uandishi wa habari [Journalism] mwaka mmoja na Kozi za Lugha ( English ,Italian and French Courses) Miezi Mitatu.
Tunayofuraha kuwatangazia wenye sifa za kufundisha nafasi ya kazi ya ualimu wa hoteli na Uandishi wa habari kwa wanafunzi wa ngazi ya Cheti,
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe ana stashahada ya hoteli kutoka chuo chochote
Awe na sifa za kufundisha ama zifanano
Awe anajua kiingereza kwa ufasaha
Awe na taaluma ya kutumia kompyuta
Awe na uwezo wa kufundisha kozi zote za hoteli
Awe na sifa za kufundisha ama zifanano
Awe anajua kiingereza kwa ufasaha
Awe na taaluma ya kutumia kompyuta
Awe na uwezo wa kufundisha kozi zote za hoteli
Barua ya maombi, CV na Nakala ya vyeti vyote vitumwe kwa Mkuu wa chuo kupitia barua pepe (Email)grossalinstitutetrainingc@gmail.com
No comments
Post a Comment