Header Ads

Header ADS

Rais Magufuli amefanya uteuzi mbalimbali.

       Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amefanya teuzi mbalimbali za   Wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa na Wilaya, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocal) na Uhamisho wa Wakurugenzi wa Halmashauri.
















     

No comments

Powered by Blogger.