Header Ads

Header ADS

Rais wa Zambia Edgar Lungu akutana na Rais Magufuli kwa ajili ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani.

    Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amekutana na Rais wa Zambia ambae ni Edgar Lungu ambapo wamekutana Tunduma-Mkoani Songwe kwa ajili ya ufunguzi wa kituo cha huduma za pamoja kati ya Tanzania na Zambia.
    Hatimaye mara baada ya kufanyika kwa zoezi hilo la kufungua kituo hicho Marais hao kila mmoja aliingia katika chumba cha nchi yake kuashilia kuwa ishara ya kuanza matumizi ya kituo hicho.













  “Niipongeze Wizara ya Fedha kwa kazi kubwa wanayoifanya lakini zaidi niwapongeze zaidi Mamlka ya Mapato (TRA)’ kwa mwaka huu wamevunja rekodi kwa ukusanyaji wa mapato. “Leo tumefungua kituo cha kihistoria cha kiuchumi na kimuungano kwa nchi zetu mbili za Tanzania na Zambia.











“Serikali ya Tanzania ipo tayari kushirikiana na Serikali ya Zambia kurudisha reli ya Tazara na kama kuna watu wanakwamisha Mimi nitumbue huku na Rais Lungu atumbue huko kwake.''Rais Magufuli
 

No comments

Powered by Blogger.