Umoja Wa Mataifa(UN) Wataja Matazizo Yanayoikumba Zaidi Afrika
Aidha,Katibu Mkuu wa shirika hilo Antonio Guterres alisema kuwa Sudan Kusini imeathirika zaidi kutokana na mafuriko tangu mwezi wa Julai. Takriban watu 900,000 wameathirika nchini humo ikiwemo wakimbizi wa ndani na wenyeji.
Hata hivyo,Zambia kwa upande mwingine imekumbwa na janga la ukame kutokana na ukosefu wa mvua, hali ambayo haijatokea tangu mwaka wa 1981.
No comments
Post a Comment