Header Ads

Header ADS

Yanga SC yachezea kichapo dhidi ya Waarabu.

      katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kwa kuchapwa goli 2-1 dhidi ya Pyramids FC kutoka nchini Misri ambapo wamepoteza Mchezo wa Shirikisho Afrika wakiwa nyumbani.
  Lakini pia magori hayo yakitupiwa kambani kwa upande wa Pyramids FC yamefungwa na Erick Traory 42', Abdallah Saed 62', huku goli pekee la Yanga SC likifungwa na  Papi Tshishimbi 88'.















     Katika hatua nyingine mchezo wa Ligi Kuu Tanzania kati ya Simba SC na Singida United umemalizika kwa Simba SC kushinda 1-0, goli hilo limefungwa na  Miraji Athumani 42'.
  Imeripotiwa na Mwandishi wetu;Adolf Mwingira

No comments

Powered by Blogger.