Header Ads

Header ADS

Abiria aliyeingia kwenye chumba cha Marubani asababisha Rubani kufungiwa.

  Abiria wa kikeliyeingia na kupiga picha wakati Ndege ikiwa angani ikiwa ni kinyume na kanuni za usalama kwenye Ndege ambapo Rubani huyo  wa Air Guilin China amefungiwa maisha kurusha    Abiria wa Kike kuingia chumba cha Marubani na kNdege kuruhusu abiriahuyo kupiga picha baada ya picha hii na  kusambaa kwenye mitandao

.











   Hata hivyo ,Picha ilipigwa January 2019 lakini imeibuliwa November baada ya kuonekena na Blogger anaejihusisha na Mambo ya anga ambae alikosoa kitendo hicho, Mrembo huyo alionekana kaweka pozi na vimiminika vikiwa mbele yake na alipoipost kwenye ukurasa wake aliandika "Asante kwa Rubani, nimefurahi sana"

Hii sio mara ya kwanza kwa Rubani kuadhibiwa China, mwaka 2018 Rubani wa Donghai Airlines aliadhibiwa baada ya kumruhusu Mke wake kuingia kwenye chumba cha Marubani wakati Ndege ikiwa angani.

 Aidha,  Tangu mashambulizi ya mwaka 2001, Mashirika mbalimbali ya Ndege Duniani yalikoleza Sheria za kukilinda chumba cha Marubani kutokana na hatari ya watu Magaidi 

No comments

Powered by Blogger.