GROSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE
P.O.BOX,369 MAKAMBAKO - NJOMBE
TELL:0762624906
Email:grossalinstitutetrainingc@gmail.com
GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEG [GITC].
Ni Chuo kinachotoa mafunzo ya kozi mbalimbali .Chuo kinapatikana Makambako Mkoa wa Njombe ,Pia chuo kinavifaa vya kutosha kwa ajili ya kujifunzia kwa vitendo na kinatoa wahitimu mahiri wenye uwezo wa kufanya kazi sehemu yeyote ile kwenye makampuni mbalimbali pamoja na Taasisi za kiserikali.
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA KOZI ZIFUATAZO.
. HOTEL MANAGEMENT & FRONT OFFICE SERVICES
. TOURISM MANAGEMENT ,TRAVEL AGENCY & WILDLIFE MANAGEMENT.
.JOURNALISM & MASS COMMUNICATIO.
. COMPUTER APPLICATION.
. VIDEO PRODUCTION
.COMMUNITY DEVELOPMENT .
.NURSERY SCHOOL TEACHING
. TOURISM MANAGEMENT ,TRAVEL AGENCY & WILDLIFE MANAGEMENT.
.JOURNALISM & MASS COMMUNICATIO.
. COMPUTER APPLICATION.
. VIDEO PRODUCTION
.COMMUNITY DEVELOPMENT .
.NURSERY SCHOOL TEACHING
Wahitimu wakimaliza masomo chuo huwatunuku cheti na wanakuwa na uwezo wa kuajiliwa pamoja na kujiajili popote pale kwani chuo kina usajili wa kudumu kutoka Serikalini kupitia Wizara ya Mafunzo ya Ufundi na UtamaduniTanzania.
Chuo kinahotel za kisasa kwa wanachuo wanao toka mbali na zinatolewa kwa gharama nafuu sana.
Usajili wa wanachuo unafanyika Makambako Mkoani Njombe.au
kwa mawasiliano piga simu :0762624906 . Wote mnakaribishw.
Usajili wa wanachuo unafanyika Makambako Mkoani Njombe.au
kwa mawasiliano piga simu :0762624906 . Wote mnakaribishw.
Ni baadhi ya wanachuo cha GITC MAKAMBAKO.Wakiwa katika Ziara ya kujifunza kwa vitendo katika hifadhi moja ya wanyama iliyopo Mbeya [Ifisi Zoo].
No comments
Post a Comment