Maiti yagoma kuzikwa kisa kulipiwa mahari
Waombolezaji wa msiba katika kijiji cha Shambarere, Kaunti ya Kakamega nchini Kenya wameshuhudia kisa cha maiti ambayo ilitakiwa ikazikwe, lakini ikashindikana baada vidole vyake vya mkononi kukunja ngumi kwa madai ya kutaka kulipwa mahari yake
Baada ya mazungumzo baina ya pande zote mbili kutoka kwa mume aitwaye Malimu na wazazi wa marehemu, zilidai maiti hiyo ilikuwa haijalipiwa pesa za mahari.
Baada ya mazungumzo baina ya pande zote mbili kutoka kwa mume aitwaye Malimu na wazazi wa marehemu, zilidai maiti hiyo ilikuwa haijalipiwa pesa za mahari.
Kwamujibu wa Citizen TV, familia ya mume huyo walikubali kulipa pesa ya mahari na baada ya hapo maiti ilikubali kukunjua mikono yake ambayo ilikuwa imekunja ngumi, kisha wazee kufanya maombi na mwili huo kuzikwa salama.
No comments
Post a Comment