Watu wawili wafariki na Watu hamsini wajeruhiwa kwa ajali ya Basi.
Watu wawili wamefariki dunia na wengine zaidi ya watu 50 kujeruhiwa baada ya basi la bright kumgonga dereva bodaboda eneo la Isele mkoani Shinyanga.
Akithibitisha tukio hilo mkuu wa usalama barabarani mkoani shinyanga amesema dereva pamoja na majeruhi 11 wamekimbizwa hospitalini kwa matibabu huku jitiada za kutoa miili ya watu wawili iliyogandamizwa ndani ya basi ikiendelea kutolewa.

No comments
Post a Comment