Header Ads

Header ADS

GALILAYA TRAINING GROUP COMPANY LTD

    Mkuu wa Taasisi  ya Galilaya Training  Group Company  LTD.Inayojihusisha na utoaji wa Mafunzo ya Ujasiliamali iliyopo Makambako Mkoani Njombe .Anatangaza nafasi za kujiunga na Mafunzo ya Ujasiliamali fani zifuaatazo.
Fani zinazofundishwa ni pamoja na

.UTENGENEZAJI WA SABUNI YA KIPANDE
.UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA NYWELE  NA YA MGANDO.
.UTENGENEZAJI WA SHAMPOO.
.UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAJI
.UTENGENEZAJI WA SUPA BLACK.

NA MAFUNZO MENGINEYO YANAPATIKANA

 NYOTE MNAKARIBISHWA KWA UJUZI WA VIWANDA

NAMNA YA KUJIUNGA UNAWEZA KUPIGA SIMU NAMBA
           0764795821 /0763764003

No comments

Powered by Blogger.