“Hakuna ndege ya ATCL isiyofanya kazi, hatujiendeshi kwa hasara”
Shirika la Ndege la Tanzania ATCL kupitia kwa Mkurugenzi Ladislaus Matindi limekanusha taarifa za ndege zake kutofanya kazi na kusema ndege zote ziko hewani na wakati mwingine zinafanyiwa matengenezo maana ni jambo la lazima kufanya marekebisho.
No comments
Post a Comment