Makamu wa Rais wa Iran akumbwa na virusi vya corona
Viongozi wawili nchini Iran, Makamu wa Rais wa Iran anayeshughulikia wanawake na masuala ya familia, Masoumeh Ebtekar na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Usalama wa Taifa na Mambo ya Nje, Mojtaba Zolnour wote wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona.
Idadi ya waliofariki Iran imefikia Watu 26 huku walioathirika wakifikia 245.
Idadi ya waliofariki Iran imefikia Watu 26 huku walioathirika wakifikia 245.
No comments
Post a Comment