Header Ads

Header ADS

OMAR AL BASHIR KUPELEKWA MAHAKAMA YA ICC

Baraza la mpito Nchini Sudani limekubali kumkabidhi rais wa zamani Omar al Bashir kwa mahakama ya kimataifa ya ICC.
Omar al Bashir alikuwa akitafutwa kutokana na makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binaadamu.

Mwezi Desemba kiongozi huyo wa zamani aliyeondolewa madarakani kwa mapinduzi mwezi Aprili, alihukumiwa kifungo cha miaka miwili kwa makosa ya rushwa.

No comments

Powered by Blogger.