Header Ads

Header ADS

Ratiba ya ligi kuu yatangazwa

Soma hapa ratiba za mechi za mwanzo kabisa ndani ya mwezi Juni Baada ya Serikali kuruhusu masuala ya michezo kuanzia Juni Mosi.


Juni 14, Simba v Ruvu Shooting, Uwanja wa Taifa


Azam FC v Mbao, Uwanja wa Azam Complex

Juni 17,JKT Tanzania v Yanga, Uwanja wa Jamhuri

Hizi hapa zitachezwa Juni 20

JKT Tanzania v Singida United,Uwanja wa Jamhuri

Ndanda v Biashara United, Uwanja wa Nangwanda

Namungo v Kagera Sugar, Majaliwa

Coastal Union v Mtibwa Sugar. Mkwakwani

Polisi Tanzania v Lipuli, Ushirika

Mbeya City v Alliance, Sokoine

KMC v Ruvu Shooting, Uhuru

Simba v Mwadui, Uwanja wa Taifa


Hizi hapa zitaanza Juni 13

 Mwadui FC  V Yanga, Uwanja wa Kambarage.

Coastal Union v Namungo FC, Uwanja wa  Mkwakwani.

No comments

Powered by Blogger.