Header Ads

Header ADS

Watumishi wa Afya Nchini Uganda wapata Corona

 Wizara ya Afya Nchini Uganda imetangaza kuwa watumishi wake wa Afya wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya Virusi vya COVID19.

       Waliopata Virusi hivyo ni Wauguzi 3, madaktari 2, na wafanyakazi 2 wa ngazi ya juu. Kwa mujibu wa Wizara, wamelazwa Hospitali na wanaendelea vizuri
Wataalam wapo katika maeneo mbalimbali ambapo watumishi wamekutwa na #COVID19 kuchunguza kilichopelekea wapate maambukizi
Hadi kufikia leo asubuhi,  Uganda imerekodi visa 417 vya Corona, huku waliopona wakiwa 72

No comments

Powered by Blogger.