Header Ads

Header ADS

Aliyekuwa Mkuu wa Njombe aibuka kidedea kura za maoni CCM


Christopher Ole Sendeka aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni katika jimbo la simanjiro kwa kupata kura 309,akifuatiwa na kiria aliyekuwa na kura 47 na wa tatu ni matei aliyepata kura 17.

No comments

Powered by Blogger.