Header Ads

Header ADS

GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE

      GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEG [GITC]

     Ni Chuo kinachotoa mafunzo ya kozi mbalimbali .Chuo kinapatikana Makambako Mkoa wa Njombe ,Pia chuo kinavifaa vya kutosha kwa ajili ya kujifunzia kwa vitendo na kinatoa wahitimu mahiri wenye uwezo wa kufanya kazi sehemu yeyote ile kwenye makampuni mbalimbali pamoja na Taasisi za kiserikali.


         KOZI ZINAZO TOLEWA CHUONI GITC NI PAMOJA NA.

          HOTEL  MANAGEMENT & FRONT OFFICE SERVICES 
          TOURISM  MANAGEMENT ,TRAVEL AGENCY & WILDLIFE MANAGEMENT.
          JOURNALISM & MASS COMMUNICATION.
          COMPUTER APPLICATION.
          VIDEO PRODUCTION 
           COMMUNITY DEVELOPMENT .
           NURSERY  SCHOOL TEACHING 

Wahitimu wakimaliza masomo chuo huwatunuku cheti na wanakuwa na uwezo wa kuajiliwa pamoja na kujiajili popote pale kwani chuo kina usajili wa kudumu kutoka Serikalini kupitia Wizara ya Mafunzo ya Ufundi na UtamaduniTanzania.

        Chuo kinahotel za kisasa kwa wanachuo wanao toka mbali na zinatolewa kwa gharama nafuu sana.
        Usajili wa wanachuo unafanyika Makambako Mkoani Njombe.au 

                        kwa mawasiliano piga simu :0762624906 Wote mnakaribishwa

Email :     grossalinstitutetrainingc@gmail.com

        

No comments

Powered by Blogger.