Header Ads

Header ADS

Wanachuo wa chuo cha Grossal Institute Training College.wafanya ziara ya kujifunza kwa vitendo katika Mto Liganga

    Ikiwa nikawaida katika chuo cha Grossal Institute Training College [GITC MAKAMBAKO ]. Kufanya ziara za kujifunza kimasomo hasa kwa wanafunzi wanaosomea Kozi ya Utalii leo tarehe 14.01.2021 Wanafunzi wa chuo hicho wamefanya ziara ya kwenda kujifunza kwa vitendo ,mimea pamoja na Ndege katika Mto Liganga.

                                


No comments

Powered by Blogger.