Maandamano yaendelea Sudan kwa siku ya pili baada ya mapinduzi
Umati wa raia wa Sudani umeingia kwenye mitaa ya Mji Mkuu wa Sudani kufanya maandamano ya kupinga mapinduzi ya Kijeshi yaliyofanyika jumatatu
kwa mjibu wa taarufa taklibani watu 10 walilipotiwa kuuwawa na wengine makumi kadhaa kujeruhiwa wengi wao ikiwa ni kutokana na risasi zilizofyatuliwa na Wanajeshi kwenye makundi ya waandamanaji .
Kuna idadi kubwa ya Wanajeshi waliopelekwa mitaani na wengine wamefunga mitaa inayounganisha Mji mkuu na maeneo mengine ya Nchi
No comments
Post a Comment