Tetesi za Soka Ulaya : Pogba, Ramsey, Coutinho, Rodgers, Kounde, Bowen, Dembele
Manchester United wanajiandaa kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 28, mwezi Januari dirisha la uhamisho litakapofunguliwa, kabla ya mkataba wake kumalizika mwisho wa msimu huu. (Star)
Kocha wa Leicester City Brendan Rodgers anapigiwa upato kuchukua nafasi ya Ole Gunnar Solskjaer kama meneja wa Manchester United. (Eurosport)
No comments
Post a Comment