Kikosi cha Yangasc kimeondoka jijini Dar es Salaam kuelekea visiwani Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mechi ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo
Mchezo huo utakaopigwa leo Novemba 9, 2021 katika Dimba la Amani .
No comments
Post a Comment