waandishi wa habari wafariki katika ajali ya gari
Kwa mjibu wa taarifa zilizo tolew na Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa mwanza waliofariki katika ajali ni
1.Husna Milanzi - ITV
2.Johari Shani - Uhuru Digital
3.Antony Chuwa - Freelancer
4.Abel Ngapenda - Afisa Habari ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza
5.Steven Msengi - Afisa Habari Ukerewe.
Majeruhi.
1.Tunu Heman - Freelancer
2 Vany Charles - Icon TV
Waandishi wa habari waliofariki dunia kwenye ajali
Kazi ya Bwana haina makosa, jina lake lihidimiwe.
No comments
Post a Comment