Header Ads

Header ADS

Mtoto akutupwa kwenye Mtaro

 Mtu asiyejulikana amemtupa mtoto mchanga kwenye mtaro wa maji ya chooni na kupelekea kifo chake katika mtaa wa Miti Mirefu halmashauri ya mji Geita mkoani Geita, huku wananchi wakilaani kitendo hicho na kuiomba serikali kumsaka aliyefanya unyama huo

Tukio la mtoto huyo kutupwa limetokea jana Machi 15, 2022, majira ya jioni bila ya kujua ni nani aliyefanya unyama huo, huku wananchi wakishangaa ni nini hasa kinachopelekea watu kutupa watoto wao.
Kwa upande wake mtendaji wa kata ya Kalangalala Hamad Hussein, amesema kuwa serikali kupitia vyombo vya usalama vitahakikisha aliyefanya tukio hilo anapatikana.

No comments

Powered by Blogger.