Header Ads

Header ADS

uongozi wa tanzania prison wawatoa hofu mashabiki wake

 Uongozi wa Tanzania Prisons umewatoa hofu Mashabiki wake kwa kuwataka kuendelea kukiamini kikosi chao, licha ya kusuasua kwenye Mshike Mshike wa Ligi Kuu Tanzania Bara
Maafande hao wa Jeshi la Magereza wamekua na matokeo mabaya msimu huu, huku wakiburuza mkia wa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hali ambayo imezua taharuki kwa mashabiki ambao wanahisi huenda timu yao ikashuka daraja msimu huu.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino wa Tanzania Prisons Jackson Mwafulango amesema Uongozi unaendelea kupambana ili kurejesha makali kwenye kikosi chao, na wanaamini zoezi hilo litaleta matokeo chanya.
Amesema kinachowatokea kwa sasa ni upepo mbaya wa kupata matokeo yasiyoridhisha, hivyo wanaendelea kutafuta dawa itakayowasiadia ili kurejea katika kiwango chao n                    kushinda michezo 14 iliyosalia.
Maafande hao wa Jeshi la Magereza wamekua na matokeo mabaya msimu huu, huku wakiburuza mkia wa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hali ambayo imezua taharuki kwa mashabiki ambao wanahisi huenda timu yao ikashuka daraja msimu huu.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino wa Tanzania Prisons Jackson Mwafulango amesema Uongozi unaendelea kupambana ili kurejesha makali kwenye kikosi chao, na wanaamini zoezi hilo litaleta matokeo chanya.
Amesema kinachowatokea kwa sasa ni upepo mbaya wa kupata matokeo yasiyoridhisha, hivyo wanaendelea kutafuta dawa itakayowasiadia ili kurejea katika kiwango chao ni  kushinda michezo 14 iliyosalia.

No comments

Powered by Blogger.