MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA ABU DHABI FALME ZA KIARABU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu kushiriki Ibada katika Kanisa hilo leo tarehe 16 Mei 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.
Askofu wa Jimbo la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia ya Kusini akimkabidhi zawadi ya kitabu cha Sala Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango mara baada ya mazungumzo yaliofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Askofu wa Jimbo la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia ya Kusini mara baada ya kushiriki ibada katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Askofu wa Jimbo la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia ya Kusini mara baada ya kushiriki ibada katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.
No comments
Post a Comment