Header Ads

Header ADS

TPBL yafanya maboresho Ratiba ya Ligi Kuu

 



Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imefanya maboresho ya Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2021/22.

TPLB imefanya mabadiliko hayo saa chache baada ya Shirikisho la Soka nchini Tanzania kutoa Ratiba ya michezo ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho ‘ASFC’ ambayo itachezwa Jumamosi (Mei 28) na Jumapili (Mei 29).

Mabadiliko hayo yamegusa muda wa kuanza kwa michezo husika, pamoja na kusogezwa mbele ama kurudishwa nyuma kwa siku moja kwa michezo hiyo.

Taarifa iliyotolewa na TPLB na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii imeonyesha, Michezo iliyofanyiwa mabadiliko ni kama ifuatavyo:

Mechi na. 189 Polisi Tanzania FC dhidi ya Biashara United FC itachezwa Mei 30, 2022 saa kumi kamili jioni (10:00)  katika uwanja wa ushirika uliopo Kilimanjaro badala ya Mei 21, 2022 saa nane (8:00) kamili mchana kama ilivyokuwa awali

No comments

Powered by Blogger.