CHADEMA yafanya mabadiliko ya Makatibu wa Kanda
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika, amefanya mabadiliko madogo ya Watendaji wa Kanda , kwa kumhamisha Katibu wa Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga na kumpeleka kanda ya Kati , huku aliyekuwa Katibu wa Kanda ya Kati Gwamaka Mbughi akihamishiwa Kanda ya Nyasa .
Mabadiliko hayo ni ya Kawaida yaliyolenga kuboresha Utendaji
na yanaanza mara moja .
No comments
Post a Comment