Header Ads

Header ADS

Ridhiwani Kikwete amemkabidhi hati za Makazi 23

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ndg.Ridhiwani Kikwete amemkabidhi Mh. Waziri wa Utalii Ndg. Pindi Chana kwa niaba ya Wananchi wa kaya 23 zenye watu wapatao 113.

Amemkabidhi Hati ya Makazi na Mashamba 23 , Vitalu 6 vya Malisho vyenye ukubwa wa Hekta Elfu 22, maeneo ya Viwanja na mashamba yaliyopimwa 5230 yaliyokwishapima 14579 katika hafla ya kuwakaribisha Wananchi wapya wa Wilaya ya Handeni, Mkoani Tanga Tarehe 16 Juni 2022 katika kijiji cha Msomera mpakani Mwa Wilaya ya Handeni na Kilindi, Mkoa Tanga.









No comments

Powered by Blogger.