Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Watu sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya
gari dogo katika eneo la Inala mkoani Tabora.
Miongoni mwa watu sita
waliofariki kati yao wanne ni wa familia moja ambao walitokea Dar es Salaam kuelekea wilaya ya
Urambo Tabora katika mazishi ya Mama mzazi wa mmoja wa marehemu hao.
Ajali hiyo imetokea
Juni 25, 2022, majira ya jioni, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda gari ndogo
ilihama katika upande wake na kuingia kwenye uvungu wa lori lililokuwa
likitokea Tabora kuelekea Singida.
No comments
Post a Comment