Baraza la Vijana CHADEMA ,limesema linasikitishwa na kitendo cha jeshi la polisi mkoani Morogoro kumkamata mratibu wa uhamasishaji BAVICHA taifa Twaha Mwaipaya. Mwaipaya anashikiliwa na jeshi hilo kwa tuhuma za makosa ya kimtandao. BARUA YA BAVICHA
No comments
Post a Comment