Header Ads

Header ADS

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ajinyonga kisa kukataliwa na Mpenzi wake

 

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU), Gunze Luhangija wa Kwimba, Mwanza aliyekuwa akisomea Shahada ya Menejimenti ya Ushirika na Uhasibu (BCMA), amekutwa amejinyonga huku chanzo kikisemekana ni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na kukataliwa na mpenzi wake aliyekuwa anamgharamikia ikiwemo kumpangishia nyumba na kumnunulia simu aina ya iPhone 14.

Imedaiwa kuwa marehemu alikuwa na ugomvi na mpenzi wake siku chache baada ya kumnunulia simu janja hiyo hali illiyosababisha kuwa katika hali ya msongo wa mawazo

No comments

Powered by Blogger.