Watoto 70 wa keketwa Mkoa wa Mara
Jumla ya watoto 70 baada ya kuhifadhi katika kituo cha nyumba salama cha ATFGM kukwepa uketaji wameketwa ndani ya mwezi Januari tu ya kurudi nyumbani kwao.
Inaarifiwa kwamba katika msimu wa ukeketaji ulioishia mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka jana zaidi ya watoto 400 walikimbilia kituo cha nyumba salama cha ATFGM Masanga lakini ya watoto hao kurudi nyumbani kwao tayari watoto 70 wameketwa.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameagizwa kukamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria wazazi wa watoto hao 70 walioketwa baada ya kurudi nyumbani.
Kwa upande wake meneja miradi ya ATFGM Masanga anasema kuwa baada ya msimu kumalizika watoto wanaokimbilia nyumba salama hurejeshwa makwao kwa ajili ya kuendelea na shule lakini kupitia wasiri waliopo vijijini tayari wamebaini uwepo wa watoto hao 70 ambao wameketwa licha ya mwaka huu kutokuwa mwaka wa ukeketaji kwa imani. . za kabila la Kurya
Koo za kabila la kurya huamini unaogawanyika kwa mbili kuwa ndio mwaka wa Baraka masuala ya ukeketaji kipindi hiki imewalazimu kukeketa watoto hao 70 mada kukumbia ukeketaji mwaka jana.
No comments
Post a Comment