SERIKALI YA TENGA BIL 13.9 KUJENGA NYUMBA 1157 ZA WALIMU
Katika bajeti ya mwaka2016/2017 serikali imetenga shilingi bilion 13.9 kwaajili ya ujenzi wa nyumba za walimu wa 1157 wa shule za msingi nchini.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais na Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa [TAMISEMI] Seleman Jafo ameyasema hayo leo mjini Dodoma alipokuwaakijibu swali la Mbunge viti Maalumu Mhe Juliana Daniel Shonza juu ya mpango wa kuboresha miundombinu ya elimu vijijini kama vile nyumba za walimu pamoja na kulipa malimbikizoya madeni ya walimu.
Katika bajeti ya 2016/2017 serikali imetenga shilingi Bil 13.9 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu 1157 kwa shule za msingi,Billioni 11.14 zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 661 kwa shule za sekondari.

No comments
Post a Comment