Header Ads

Header ADS

Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mheshimiwa Kassimm Majaliwa amefanyaziara katika mkoawa Njombe jimbo la makambako

 Ikiwa ni mara ya kwanza kutembelea mkoani njombe  waziri mkuu   Kassim Majaliwa,Amewataka viongozi wa umma  kuwasikiliza wananchi na kutatua kero zinazojitokeza kwa wananchi.
      Mtendaji huyo mkuu wa kazi za serikali ameelezea jinsi serikali ya awamu yatano inavyopambamba na watumishi wazembe kazini pamoja na walarushwa.




No comments

Powered by Blogger.