Mzee aliye chora Nembo ya Taifa amefariki dunia
Taarifa kutoka Hospitali ya Muhimbili zinasema mzee Francis Kanyasu maarufu kama Ngosha ambaye amehusika kwenye kuchora nembo ya taifa amefariki dunia akiwa kwenye matibabu Hospitalini hapo.
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa May 29,2017 hali ya mzee huyo ilibadilika ghafla na Madaktari walijitahidi kadri ya uwezo wao kuweza kunusuru maisha yake lakini ilishindikana na akafariki dunia saa mbili usiku.
Mwili wa mzee huyo upo chumba cha kuhifadhia maiti Hospitalini hapo ambapo unasubiri mamlaka husika kutoa maelezo zaidi.

No comments
Post a Comment