Header Ads

Header ADS

TAHADHARI:Madhara wanayopata watoto wanaolishwa chakula kwa kijiko.
























Watoto ambao hulishwa chakula kwa kijiko wameelezwa kuwa wapo hatarini zaidi kuwa na uzito mkubwa na unene kupita kiasi ukilinganisha na watoto ambao wanakula chakula wenyewe kwa mikono yao kwa mujibu wa utafiti mpya.
     Amy Brown Profesor katika chuo kikuu cha Swansea amesema kuwa watoto wanaopewa nafasi ya kula wenyewe kwa mikono yao huwa \na uwiano mkubwa wa afya bora hivyo wazazi wameshauliwa kutowalisha kwa kijiko watoto wenye umri wa zaidi ya miezi sita kwa sababu wanakuwa tayari wanaweza kula vyakula vigumu.
     Akiongea na Sunday Times mwandishi huyo wa kitabu cha WHY STARTING SOLID MATTERS ambacho kitachapishwa wiki ijayo amesema lazima watoto waluhusiwe kula kidogo au zaidi pale wanapojifunza kula wenyewe akidai kuwa kutumia kijiko huwafanya watoto kula zaidi ya wanavyohitaji....

No comments

Powered by Blogger.